Wednesday, May 22, 2013
Tuesday, May 21, 2013
Monday, May 20, 2013
RESPECT DJS WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI...
Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ni moja ya hifadhi kubwa na mashuhuri nchini. Eneo kuu na muhimu katika hifadhi hii ni uwanda wa mafuriko pamoja na safu za milima ambazo zinapakana na hifadhi hii. Mbuga za wazi ndizo zinashamiri katika uwanda wa mafuriko na kuishia katika misitu ya miombo inayofunika mabonde yaliyo chini ya hifadhi. Hapa Simba wanaonekana katika himaya yao, wanyama wengine wengi hukimbilia eneo la miombo nyakati za mvua ambazo unaweza kuwaona kutoka eneo lasafu za milima.
Team nzima ya Respect Djs, Endelea kufuatilia picha hapo chini
ELYSON & ESBO'S NITE...
MC : MATEMBA
UKUMBI : HUBERT KILATO - KIMARA
MUSIC : RESPECT DJS
MAPAMBO: ROMANITA DECORATIONS - 0655 542241
ELEYSON & ESBO
Sunday, May 19, 2013
Saturday, May 18, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)








