Friday, February 3, 2012

Maimartha wa Jesse aagwa Diamond Jubilee


Maimartha wa Jesse ambaye ni Mtangazaji machachari wa Luninga hasa vipindi 
vya dansi nchini jana aliweza kutimiza njozi yake katika shughuli yake ya 
send Off ilifanyika tarehe 3/2/2012 katika ukumbi wa Diamond Jubilee VIP

Mcheza filamu wa Bongo Movie Aunt Ezekiel naye alikuwepo kumpa suport Maimartha

Hapa ndo pale Uko wapi wakuone mpenzi wangu eeeh ohhhh .......
Source:Afrokija

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...