Monday, June 11, 2012

Harris Kapiga ndani ya Kitchenparty Gala

 Harris Kapiga (Mtangazaji,Msheheshaji pia ni Mtoa Mada)

 Akitoa mada katika shughuli ya Kitchen party Gala
ambayo iliandaliwa kwa ushirikiano mkubwa na
Dina Marious ambaye ni Mtangazaji wa Clouds Fm 88.4 Dsm
Harris alikuwa ni mmoja wa wasemaji kati ya wanne
ambao ni pamoja na Fredy,Mama Victor na Aunt Sadaka

shughuli ilifanyika tar 9/6/2012 jumamosi 
katika ukumbi wa Dancan uliopo Mikochen kwa Warioba

 Aunt Sadaka na Harris Kapiga


 Jaman mnaniskia.............
 Aunt & Harris
 Harris & Fredy
 Kitu cha Kwaito pale kati.....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...