Luis na Mkewe Josephine katika picha
Sherehe hii ilifanyika katika ukumbi
wa Flamingo Mbezi Beach
Luis akimlisha keki Mkewe
Twende Swahiba wangu huwezi jua
labda utakuwa my love baade
Kama kawaida ukifika kwa wachaga ndafu ni muhimu
Wakinyeshana Shampeni Lusi & Josephine
Cheeeerzzzzz
We kutiiiii.....................wee..............kutiiiiiiiiiiiii
Dj twaha,Mimi na Mc Chriss Mauki ambaye ndo alikuwa Mc
Luis na Josephine katika chakula
Maharusi wakiaga


Umependeza mdogo wangu. Wifi kapendeza nae sana tu.
ReplyDelete