Saturday, August 18, 2012

Ukumbi wa Danken House - Mikocheni

 Ukumbi wa Danken House uko Mikocheni
kwa Warioba karibu kabisa na Baraka Plaza
 Kwa shughuli za Harusi, Send Off, Kitchen-party
Birthday, Kipaimara n.k
 Unapokea idadi ya watu toka 1 mpaka 400
pia huduma za Chakula na Vinywaji vinapatikana ukumbini

 Usiwe na wasiwasi wa parking eneo ni kubwa la kutosha
 ndani ya ukumbi unavyoonekana na 
shughuli za upambaji zikiendela
Mawasiliano
Manager: 0714 111189 
Mr Zacharia

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...