Tuesday, November 13, 2012

HARUSI YA KELVIN & JULIANA

 KELVIN ERASMUS TARIMO & MKEWE JULIANA JOHNSON BUYINGA WAKIINGIA UKUMBINI SUNSET, MBEZI BEACH KWA MADAHA NA FURAHA... MWANAMKE NYWELE ...........

 MAHARUSI WADOGO.......

 WADADA HAWA WALITOKELEZEA SANA HAPO SASA


 KELVIN & JULIANA WAKIELEKEA 
KWENYE CHAKULA CHA JIONI
 MEZA YA ZAWADI NA MKONO WA PONGEZI IKIWA TAYARI NA WAPAMBE WAKIWA WAMEKETI SAWA SAWA
 RESPECT DJS SOUND.....
 WAKWETU BAND NDIO WALIKUWA WAKITUMBUIZA
JULIANA AKIRUSHA UA KWA WADADA AMBAO HAWAJAOLEWA...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...