Wednesday, April 10, 2013

Tamasha la tano la Kitaaluma la Mwalimu Nyerere Limefunguliwa leo...

 Tamasha la tano la kitaaluma la Mwalimu Nyerere (Kigoda cha Mwalimu Nyerere) 
limefunguliwa leo katika Ukumbi wa Nkurumah - Chuo Kikuu cha 
Dar es Salaam ambapo litadumu mpaka ijumaa 12/4/2013
 Mtoa mada Mkuu wa Tamasha hilo ni Prof: Thandika Mkandawire toka Malawi, Katika hotuba yake alisisitiza kuhusu umoja wa Afrika na kuangalia sera zinazolenga kumkomboa Mwafrika. Pia ameongelea kuhusu jitihada za kimaendeleo na waasisi wetu MwL. Nyerere za Kwame Nkurumah.
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Rwekaza Mukandara
 Prof. Issa Shivji Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere.PROF. THANDIKA MKANDAWIRE AKIVISHWA (SHAWL) HESHIMA YA KUWA MTOA MADA MKUU KATIKA TAMASHA HILO
 CREW YA RESPECT DJS IKIWA IMEWEKA KAMBI KATIKA UKUMBI 
WA NKURUMAH - UDSM


PROF. THANDIKA MKANDAWIRE AKIZINDUA BAADHI YA MACHAPISHO
 BAADHI YA WASHIRIKI

PROF. AMANDINA LIHAMBA

 WAKATI WA MASWALI NA MAJIBU

MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
 PROF. IBRAHIMU LIPUMBA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...