Thursday, May 2, 2013

YALIYOJIRI KATIKA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA 2013

 Dina Marios (Mkurugenzi wa Women In Balance Kitchen Party Gala) iliyofanyika Jumamosi iliyopita katika ukumbi mpya wa Golden Jubilee Tower iliyowakutanisha wanawake pamoja na kujadili mambo yamuhusuyo Mwanamke,
 Na kwa mwaka 2013 Dress Code ilikuwa ni rangi za Bendera ya Tanzania
 Getrude Mungai kutoka Kenya alikuwa kati ya wazungumzaji katika shughuli hiyo
 na wengine ni  Mama Victor pamoja na Aunty Sadaka
 Aunty Sadaka 
 Malkia wa Mipasho Tanzania Khadija Kopa akitoa burudani 
hadhara endelea kufuatilia hapo chini

 Kundi la THE VOICE likiimba nyimbo maalumu kwa ajili ya Mwanamke 


 Brand manager wa AMARULA Diana Balyagati akiwapa waliofanikisha kushona na kumatch rangi za bendera ya Taifa.

MAANKULIWALIVYOTOKELEZEAAWADHAMINI
 MAX MALIPO
 AMARULA
CASSANDRA LANGERIE
KAA MKAO WA KULA
kumbuka mwezi june itakuja ya wasichana na wavulana ambao hawajaolewa.Wake kwa waume baaada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
PICHA THANX: DINA MARIOS

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...